LRC歌词

Nilipokua mdogo
Nilikua msoto
lakini sio kwa mchezo
Marafiki kuwepo
Na wasichana warembo
Wakicheza kalongo longo

Ninakumbuka wakinieka mkubwa
Wa michezo tofauti
Na kushinda kila mja
Kisha nachagua rafiki mmoja
Niliyemshinda
Afunge macho tujifiche

Kisha anasema
Brikicho banture
Brikicho banture
Nikuje Apana
Nikuje Apana
Changlingli chakicha
Changlingli chakicha
Nimeshika mgiriama
Hajapiga tapo tapo

Watoto wangu we weh
Mimi baba yenu weh
Simba ni mkali weh
Aliuwa mamah weh
Ma ndugu zangu weh
Nisikilizeni fanyeni kazi
Mkapate mali

Ninakumbuka wakinieka mkubwa
Wa michezo tofauti
Na kushinda kila mja
Kisha nachagua rafiki mmoja
Niliyemshinda afunge macho tujifiche

Kisha anasema
Brikicho banture
Brikicho banture
Nikuje apana
Nikuje Apana
Changlingli chakicha
Changlingli chakicha
Nimeshika mgiriama
Hajapiga tapo tapo

文本歌词

Nilipokua mdogo Nilikua msotolakini sio kwa mchezo Marafiki kuwepo Na wasichana warembo Wakicheza kalongo longoNinakumbuka wakinieka mkubwa Wa michezo tofauti Na kushinda kila mja Kisha nachagua rafiki mmoja Niliyemshinda Afunge macho tujifiche Kisha anasema Brikicho bantureBrikicho bantureNikuje ApanaNikuje ApanaChanglingli chakichaChanglingli chakicha Nimeshika mgiriama Hajapiga tapo tapoWatoto wangu we wehMimi baba yenu wehSimba ni mkali wehAliuwa mamah weh Ma ndugu zangu weh Nisikilizeni fanyeni kazi Mkapate maliNinakumbuka wakinieka mkubwa Wa michezo tofauti Na kushinda kila mja Kisha nachagua rafiki mmoja Niliyemshinda afunge macho tujifiche Kisha anasema Brikicho bantureBrikicho bantureNikuje apana Nikuje ApanaChanglingli chakichaChanglingli chakicha Nimeshika mgiriama Hajapiga tapo tapo

声明:本站不存储任何音频数据,站内歌曲来自搜索引擎,如有侵犯版权请及时联系我们,我们将在第一时间处理!