LRC歌词

Yoh
Naskia fiti manze
Na unajua niaje
Sidai story ya fitina
Naskia fiti na
Story ya fitina

Leo naskia fiti na
Sidai mambo ya Fitina
Kila Bill nilisha lipa
Na bado nina mkwanja nina kitita

Leo naskia fiti na
Sidai mambo ya Fitina
So Kaa kuna drinks zikam
Mbili mbili vile inafaa

Leo ni ile siku ya ku feel good
Tom Daktari amesema tujitibu
So Mami achilia kitambi tu haribu
Baada ya dishi ni makali na zabibu
Kata maji tuki puliza mawingu
Summer bunny anaka lupita mchinku
Haina worry juu miwani zina tint True
Zimekashi ka afisa na mapingu

Kaa kuna fom nangoja uitoe nii Sign
Niko on na siwezi patikana offside
Piga Shot ni kaa umecheki OPP on sight
Toa lock ni kaa unadai ku go inside

Leo naskia fiti na
Sidai mambo ya Fitina
Kila Bill nilisha lipa
Na bado nina mkwanja nina kitita

Leo naskia fiti na
Sidai mambo ya Fitina
So Kaa kuna drinks zikam
Mbili mbili vile inafaa

Soft life maisha London... Innit
More life bila kashfa... Innit
Gold label ndani ya tumbler.. Innit
Jose Cuevo ndani ya tumbler.. Innit

Soft life maisha London... Innit
More life bila kashfa... Innit
Gold label ndani ya tumbler.. Innit
Jose Cuevo ndani ya tumbler.. Innit

Na niko timama, sina tialala
Napiga shots ki babu Owino ndani ya bclub na
Kila peng nimekaa kando amesimama
Kila bet tuli gamble leo imeivana
Hakuna weng naweka kando hizo drinks zikam
Order Dre straight from Compton na ma rizzla
Ni sherehe bila scandal wala hitilafu
Niko genje bila mambo wala fitina.

Leo naskia fiti na
Sidai mambo ya Fitina
Kila Bill nilisha lipa
Na bado nina mkwanja nina kitita

Leo naskia fiti na
Sidai mambo ya Fitina
So Kaa kuna drinks zikam
Mbili mbili vile inafaa

文本歌词

YohNaskia fiti manzeNa unajua niajeSidai story ya fitinaNaskia fiti naStory ya fitinaLeo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina Kila Bill nilisha lipaNa bado nina mkwanja nina kitita Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina So Kaa kuna drinks zikamMbili mbili vile inafaa Leo ni ile siku ya ku feel goodTom Daktari amesema tujitibu So Mami achilia kitambi tu haribu Baada ya dishi ni makali na zabibu Kata maji tuki puliza mawinguSummer bunny anaka lupita mchinkuHaina worry juu miwani zina tint TrueZimekashi ka afisa na mapinguKaa kuna fom nangoja uitoe nii SignNiko on na siwezi patikana offside Piga Shot ni kaa umecheki OPP on sightToa lock ni kaa unadai ku go inside Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina Kila Bill nilisha lipaNa bado nina mkwanja nina kitita Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina So Kaa kuna drinks zikamMbili mbili vile inafaa Soft life maisha London... Innit More life bila kashfa... Innit Gold label ndani ya tumbler.. InnitJose Cuevo ndani ya tumbler.. InnitSoft life maisha London... Innit More life bila kashfa... Innit Gold label ndani ya tumbler.. InnitJose Cuevo ndani ya tumbler.. InnitNa niko timama, sina tialalaNapiga shots ki babu Owino ndani ya bclub na Kila peng nimekaa kando amesimama Kila bet tuli gamble leo imeivana Hakuna weng naweka kando hizo drinks zikam Order Dre straight from Compton na ma rizzla Ni sherehe bila scandal wala hitilafuNiko genje bila mambo wala fitina.Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina Kila Bill nilisha lipaNa bado nina mkwanja nina kitita Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina So Kaa kuna drinks zikamMbili mbili vile inafaa

声明:本站不存储任何音频数据,站内歌曲来自搜索引擎,如有侵犯版权请及时联系我们,我们将在第一时间处理!