LRC歌词

[ti:]
[ar:]
[al:]
[by:时间戳工具V2.0_20200810]
[offset:0]
[00:12.03]Nimpate vipi mi sijui ninaimani mapenzi hayajuiiihi
[00:18.21]Nitapata ugojwa wa moyo kwa sababu ya mawazo
[00:23.22]Ninavyojuwa maisha yake hajawai kuwa na boyfriend
[00:26.67]Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
[00:33.48]Kwa ishara inaonekana nampenda yeye eti ninamzingua
[00:38.34]Eti ingelikuwa anaskia basi ukweli wangu angeujua
[00:43.68]Kwa ishara inaonekana nampenda yeye eti ninamzingua
[00:49.35]Eti ingelikuwa anaskia basi ukweli wangu angeujua
[00:53.22]Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni ningemtumaaaa
[00:59.31]Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
[01:03.39]Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni ningemtumaaaa
[01:08.37]Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
[01:13.50]Si siri ninampenda binti kiziwi
[01:16.41]Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
[01:18.00]Si siri nataseka juu yake ye binti kiziwi
[01:22.65]Si siri ninampenda binti kiziwi
[01:25.77]Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
[01:29.37]Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii
[01:35.31]Nashangaa pale nampomkutaaa akiwa nawenzake wanaongeaaa
[01:40.17]Huwa najiuliza mimi wanaongea naye vipiiii
[01:43.47]Nashangaa napo muitaa nahisi huwa anakata
[01:49.62]Sijui ndio hasiki au mapozi au mapozi naye
[01:54.45]Afadhali angejuae kusomae hatachale kiumbe ningempa
[01:59.37]Eti kama ningejuwa isharaaa basi kwake ningefika mimi
[02:06.21]Afadhali angejuwa kusomae hata mbonge kiumbee ningempa
[02:13.14]Etikama ningejua isharaa mbasi kwake ningefika baby
[02:14.79]Si siri ninampenda binti kiziwi
[02:17.49]Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
[02:19.29]Si siri nataseka juu yake ye binti kiziwi
[02:23.94]Si siri ninampenda binti kiziwi Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
[02:31.02]Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi
[02:35.10]Rap Verse
[02:35.34]Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa
[02:38.73]Amenidatisha mnyamwezi nayake figure
[02:40.17]Tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu
[02:42.63]Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu
[02:45.24]Nikimwambia neno I luv you wala halijuwi
[02:47.46]Nikimwambie neno I need you halitambui
[02:50.46]Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
[02:52.38]Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
[02:54.72]Nikimwambia neno I luv you wala halijuwi
[02:58.11]Nikimwambie neno I need you halitambui
[03:00.54]Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
[03:03.09]Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
[03:06.12]Hatakusema neno I luv youuu kwake halijui
[03:10.74]Hatakusema neno I need youuu kwake halitambui
[03:15.84]Hatakusema neno
[03:16.95]I luv youuu kwake halijui
[03:20.97]Hatakusema neno I need youuu kwake halitambui Baby baby baby booo
[03:29.85]Baby I love you ingawa nateseka naye
[03:34.98]Baby I need you baby baby booo
[03:39.24]Uhuu
[03:40.05]Baby I love you
[03:43.74]Uhuhu
[03:45.18]Baby
[03:46.83]Tuhuu
[03:47.58]Baby
[03:53.46]I need you
[04:05.28]Uhu
[04:15.63]Repeat chorus till fade

文本歌词


Nimpate vipi mi sijui ninaimani mapenzi hayajuiiihi
Nitapata ugojwa wa moyo kwa sababu ya mawazo
Ninavyojuwa maisha yake hajawai kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa ishara inaonekana nampenda yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia basi ukweli wangu angeujua
Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii
Nashangaa pale nampomkutaaa akiwa nawenzake wanaongeaaa
Huwa najiuliza mimi wanaongea naye vipiiii
Nashangaa napo muitaa nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki au mapozi au mapozi naye
Afadhali angejuae kusomae hatachale kiumbe ningempa
Eti kama ningejuwa isharaaa basi kwake ningefika mimi
Afadhali angejuwa kusomae hata mbonge kiumbee ningempa
Etikama ningejua isharaa mbasi kwake ningefika baby
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi
Rap Verse
Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa
Amenidatisha mnyamwezi nayake figure
Tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu
Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu
Nikimwambia neno I luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno I need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Nikimwambia neno I luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno I need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Hatakusema neno I luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno I need youuu kwake halitambui
Hatakusema neno
I luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno I need youuu kwake halitambui Baby baby baby booo
Baby I love you ingawa nateseka naye
Baby I need you baby baby booo
Uhuu
Baby I love you
Uhuhu
Baby
Tuhuu
Baby
I need you
Uhu
Repeat chorus till fade

推荐音乐

声明:本站不存储任何音频数据,站内歌曲来自搜索引擎,如有侵犯版权请及时联系我们,我们将在第一时间处理!