LRC歌词
Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Ndani ya Dar Es Salaama ulikuja bure
Tena kimwana kimwana hujui kuchuna
Na zile lawama za wale walokuzoeza
Ulikuja jana na leo tofauti sana
Tena bora yule wa jana wa leo tofauti sana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Tena bora yule wa jana wa jana leo wa jana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
oyayee
Mbona unawatesa sana?
omamee
Mbona unajitesa sana?
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
ndani ya Dar es Salaam mambo matamu hayakukuisha hamu
we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambara bovu
kuna asali na shubiri ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifuata hukupata, umekosa ulivyoacha
Kwa baba yako mwana na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyovitaka ni vingi ulivyoacha
oyayee
Mbona unajitesa sana?
omamee
Mbona unawatesa sana?
Ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Ndani ya Dar Es Salaama ulikuja bure
Tena kimwana kimwana hujui kuchuna
Na zile lawama za wale walokuzoeza
Ulikuja jana na leo tofauti sana
Tena bora yule wa jana wa leo tofauti sana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Tena bora yule wa jana wa jana leo wa jana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
oyayee
Mbona unawatesa sana?
omamee
Mbona unajitesa sana?
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
ndani ya Dar es Salaam mambo matamu hayakukuisha hamu
we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambara bovu
kuna asali na shubiri ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifuata hukupata, umekosa ulivyoacha
Kwa baba yako mwana na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyovitaka ni vingi ulivyoacha
oyayee
Mbona unajitesa sana?
omamee
Mbona unawatesa sana?
文本歌词
Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbizaOna babio mamio wote wanakuliliaMtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbizaOna babio mamio wote wanakuliliaNdani ya Dar Es Salaama ulikuja bureTena kimwana kimwana hujui kuchunaNa zile lawama za wale walokuzoezaUlikuja jana na leo tofauti sanaTena bora yule wa jana wa leo tofauti sanaDakika mbili mbele nyuma kichwa kinaumaTena bora yule wa jana wa jana leo wa janaDakika mbili mbele nyuma kichwa kinaumaoyayeeMbona unawatesa sana?omameeMbona unajitesa sana?Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sanandani ya Dar es Salaam mambo matamu hayakukuisha hamuwe bado mtoto kwa mama hujayajua mengiMwenda tezi na omo marejeo ngamaniAmesema sana mama dunia tambara bovukuna asali na shubiri ujana giza na nuruWe mwana wewe mwana, mwana jeuri sanaUlichokifuata hukupata, umekosa ulivyoachaKwa baba yako mwana na mama yako mwanaKwa vichache ulivyovitaka ni vingi ulivyoachaoyayeeMbona unajitesa sana?omameeMbona unawatesa sana?