LRC歌词
(Nadia :)
Ninachojua Uzee upo
Usichana unakwenda
Ule urembo haupo miaka zikienda
Je utanipenda nikipata michirizi
Utanipenda kikija nacho kitambi
Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala
Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ?
(Masauti:)
Oh My baby usiwe shaka
mi mwenzako Nakupenda
Ule urembo upo ata miaka ikienda
Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi
Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi
Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala
Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara
Chorus:
Nadia:
Keshoo
I hope utanipenda my baby
Mpaka Kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
Masauti:
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda baby
Mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
Verse 2
Masauti:
Shahidi yetu Mola
Ile Siku mioyo iliposhikana
Ukanipend nami nkakupenda
Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe
Nadia :
Ujana ni moshi
uko sure na mimi
Tukose udosi
je utakuwa na mimi
For better for worse
Iwe better for us
Masauti:
Hata tukiyumba mama
Tuwe pamoja
Nadia:
Mi bado nitakupenda
Kama kipato umekosa
Kesho nitakupenda
hata mgongo ukikunja
Masauti:
Hivi utanipenda kama mziki ukibuma
Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa
Chorus:
Nadia:
Keshoo
I hope utanipenda my baby
Mpaka Kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
Masauti:
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda baby
Mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
Ninachojua Uzee upo
Usichana unakwenda
Ule urembo haupo miaka zikienda
Je utanipenda nikipata michirizi
Utanipenda kikija nacho kitambi
Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala
Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ?
(Masauti:)
Oh My baby usiwe shaka
mi mwenzako Nakupenda
Ule urembo upo ata miaka ikienda
Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi
Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi
Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala
Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara
Chorus:
Nadia:
Keshoo
I hope utanipenda my baby
Mpaka Kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
Masauti:
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda baby
Mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
Verse 2
Masauti:
Shahidi yetu Mola
Ile Siku mioyo iliposhikana
Ukanipend nami nkakupenda
Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe
Nadia :
Ujana ni moshi
uko sure na mimi
Tukose udosi
je utakuwa na mimi
For better for worse
Iwe better for us
Masauti:
Hata tukiyumba mama
Tuwe pamoja
Nadia:
Mi bado nitakupenda
Kama kipato umekosa
Kesho nitakupenda
hata mgongo ukikunja
Masauti:
Hivi utanipenda kama mziki ukibuma
Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa
Chorus:
Nadia:
Keshoo
I hope utanipenda my baby
Mpaka Kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
Masauti:
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda baby
Mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
文本歌词
(Nadia :)Ninachojua Uzee upo Usichana unakwenda Ule urembo haupo miaka zikienda Je utanipenda nikipata michiriziUtanipenda kikija nacho kitambi Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ? (Masauti:)Oh My baby usiwe shakami mwenzako Nakupenda Ule urembo upo ata miaka ikienda Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambiHivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilalaNami uzeeni utanipenda nikipata kiahara Chorus: Nadia: KeshooI hope utanipenda my baby Mpaka Keshokufa kuzikana mi nawe baby Masauti: Mpaka keshoNiamini ntakupenda baby Mpaka keshoTuzeeke na wewe my baby Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo Verse 2 Masauti: Shahidi yetu Mola Ile Siku mioyo iliposhikana Ukanipend nami nkakupendaNdo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe Nadia :Ujana ni moshi uko sure na mimi Tukose udosi je utakuwa na mimiFor better for worse Iwe better for us Masauti:Hata tukiyumba mama Tuwe pamoja Nadia: Mi bado nitakupenda Kama kipato umekosa Kesho nitakupenda hata mgongo ukikunja Masauti: Hivi utanipenda kama mziki ukibuma Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa Chorus: Nadia: KeshooI hope utanipenda my baby Mpaka Keshokufa kuzikana mi nawe baby Masauti: Mpaka keshoNiamini ntakupenda baby Mpaka keshoTuzeeke na wewe my baby Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo